Matendo 3:9, 10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Watu wote wakamwona akitembea huku akimsifu Mungu. 10 Wakaanza kutambua kwamba huyu ndiye mtu aliyekuwa akiketi kwenye Lango Zuri la hekalu+ akisubiri zawadi za rehema, nao wakashangaa sana na kushangilia kuhusu jambo lililotokea.
9 Watu wote wakamwona akitembea huku akimsifu Mungu. 10 Wakaanza kutambua kwamba huyu ndiye mtu aliyekuwa akiketi kwenye Lango Zuri la hekalu+ akisubiri zawadi za rehema, nao wakashangaa sana na kushangilia kuhusu jambo lililotokea.