Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:5-8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Basi akavitupa vile vipande vya fedha hekaluni. Kisha akaenda zake akajinyonga.+ 6 Lakini wakuu wa makuhani wakachukua pesa hizo wakasema: “Si halali kuziweka katika hazina takatifu, kwa sababu ni bei ya damu.” 7 Baada ya kushauriana, wakatumia pesa hizo kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni. 8 Kwa hiyo, shamba hilo limeitwa Shamba la Damu+ hadi leo hii.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki