Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 10:47, 48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 47 “Je, kuna yeyote anayeweza kuwazuia hawa waliopokea roho takatifu kama tulivyoipokea wasibatizwe+ kwa maji?” 48 Ndipo akawaamuru wabatizwe katika jina la Yesu Kristo.+ Kisha wakamwomba akae pamoja nao siku kadhaa.

  • Matendo 19:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 akawauliza: “Mlipoanza kuamini, je, mlipokea roho takatifu?”+ Wakamjibu: “Hata hatujasikia kwamba kuna roho takatifu.” 3 Basi akawauliza: “Mlibatizwa katika nini?” Wakajibu: “Katika ubatizo wa Yohana.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki