-
Matendo 9:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Kwa kuwa Lida ilikuwa karibu na Yopa, wanafunzi waliposikia kwamba Petro alikuwa katika jiji hilo wakatuma wanaume wawili wakamsihi: “Tafadhali njoo kwetu haraka iwezekanavyo.”
-