Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 10:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ponyeni wagonjwa,+ fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, fukuzeni roho waovu. Mlipokea bure, toeni bure.

  • Matendo 4:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 ikiwa tunahojiwa leo kuhusu tendo jema alilofanyiwa mtu huyu aliyekuwa kilema,+ na ikiwa mnataka kujua aliyemponya, 10 na ijulikane kwenu nyote na kwa watu wote wa Israeli kwamba katika jina la Yesu Kristo Mnazareti,+ ambaye mlimuua kwenye mti+ lakini Mungu akamfufua kutoka kwa wafu,+ kupitia kwake mtu huyu anasimama hapa mbele yenu akiwa ameponywa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki