Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 11:5-10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 “Nilipokuwa nikisali katika jiji la Yopa, niliona maono katika njozi, kitu fulani* kikishuka kama shuka kubwa la kitani, kikiteremshwa kutoka mbinguni kwa ncha zake nne, nacho kikaja moja kwa moja mpaka mahali nilipokuwa.+ 6 Nilipotazama kwa makini ndani yake, nikaona wanyama wa dunia wenye miguu minne, wanyama wa mwituni, viumbe wanaotambaa, na ndege wa angani. 7 Pia nikasikia sauti ikiniambia: ‘Petro, simama, chinja ule!’ 8 Lakini nikasema, ‘Hapana Bwana, kwa sababu kitu chochote najisi au kisicho safi hakijawahi kamwe kuingia kinywani mwangu.’ 9 Mara ya pili, ile sauti kutoka mbinguni ikajibu: ‘Wewe acha kuviita najisi vitu ambavyo Mungu amevitakasa.’ 10 Hilo likatokea mara ya tatu, na kila kitu kikavutwa juu kurudi mbinguni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki