Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 22:27-29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Basi kamanda wa jeshi akakaribia na kumuuliza: “Niambie, wewe ni Mroma?” Akajibu: “Ndiyo.” 28 Kamanda wa jeshi akasema: “Mimi nilinunua haki hizo za kuwa raia kwa pesa nyingi.” Paulo akasema: “Lakini mimi nina haki hizo kwa kuzaliwa.”+

      29 Kwa hiyo, mara moja watu waliokuwa karibu kumhoji kwa kumtesa wakamwacha; na kamanda wa jeshi akaogopa alipotambua kwamba Paulo ni Mroma na kwamba alikuwa amemfunga kwa minyororo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki