-
Matendo 23:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Ilipofika mchana, Wayahudi wakafanya hila na kujifunga kwa kiapo cha laana, wakisema hawatakula wala kunywa mpaka watakapomuua Paulo.
-
-
Matendo 23:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Hata hivyo, mwana wa dada ya Paulo akasikia kuhusu mpango wao wa kumvizia, akaingia kwenye makao ya wanajeshi na kumjulisha Paulo.
-