Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Kwa siku saba mtakula mikate isiyo na chachu.+ Naam, siku ya kwanza mtaondoa nyumbani mwenu unga uliokandwa wenye chachu, kwa sababu mtu yeyote atakayekula kitu kilichotiwa chachu kuanzia siku ya kwanza mpaka siku ya saba, ni lazima auawe kutoka katika Israeli.

  • Kutoka 23:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Utaadhimisha Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu.+ Utakula mikate isiyo na chachu kwa siku saba, kama nilivyokuamuru, wakati uliowekwa katika mwezi wa Abibu,*+ kwa sababu ulitoka Misri wakati huo. Mtu yeyote asije mbele zangu mikono mitupu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki