Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 20:22, 23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Na sasa, tazameni! nikiwa nimefungwa katika* roho, ninasafiri kwenda Yerusalemu, ingawa sijui mambo yatakayonipata huko, 23 isipokuwa kutoka jiji mpaka jiji roho takatifu inanitolea ushahidi tena na tena, ikisema kwamba nitafungwa gerezani na kupatwa na dhiki.+

  • Matendo 21:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Ndipo yule kamanda wa jeshi akakaribia akamweka chini ya ulinzi na kuamuru afungwe kwa minyororo miwili;+ kisha akauliza huyo ni nani na alikuwa amefanya nini.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki