Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 21:27, 28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Sasa zile siku saba zilipokaribia kwisha, Wayahudi kutoka Asia walipomwona hekaluni, wakauchochea umati wote, nao wakamkamata, 28 wakisema kwa sauti kubwa: “Wanaume wa Israeli, tusaidieni! Huyu ndiye mwanamume anayewafundisha watu kila mahali dhidi ya watu wetu na Sheria yetu na mahali hapa. Isitoshe, hata aliwaingiza Wagiriki hekaluni naye amepatia unajisi mahali hapa patakatifu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki