Matendo 25:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Lakini nikawajibu kwamba si utaratibu wa Kiroma kumkabidhi mtu yeyote ili tu kupata kibali kabla ya mshtakiwa kukutana uso kwa uso na wale waliomshtaki na kupata nafasi ya kujitetea kuhusu mashtaka.+
16 Lakini nikawajibu kwamba si utaratibu wa Kiroma kumkabidhi mtu yeyote ili tu kupata kibali kabla ya mshtakiwa kukutana uso kwa uso na wale waliomshtaki na kupata nafasi ya kujitetea kuhusu mashtaka.+