Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 25:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Ikiwa, kwa kweli mimi ni mkosaji na nimefanya jambo lolote linalostahili kifo,+ niko tayari kufa; lakini kama mashtaka ya watu hawa hayana msingi, hakuna mtu aliye na haki ya kunikabidhi kwao ili tu apate kibali chao. Ninakata rufaa kwa Kaisari!”+ 12 Ndipo Festo, baada ya kuzungumza na baraza la washauri, akajibu: “Umekata rufaa kwa Kaisari; nawe utaenda kwa Kaisari.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki