-
Wakolosai 1:21, 22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Kwa kweli, ninyi ambao zamani mlikuwa mmetengwa, nanyi mlikuwa adui kwa sababu akili zenu zilikuwa zikifikiria matendo maovu, 22 sasa amewapatanisha tena kwa njia ya mwili wenye nyama wa huyo kupitia kifo chake, ili awatoe ninyi mkiwa watakatifu na wasio na dosari na bila shtaka lolote mbele zake+—
-