Mwanzo 4:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Ukitenda mema, je, hutapata kibali tena?* Lakini usipotenda mema, dhambi inakunyemelea mlangoni, nayo inatamani sana kukutawala; lakini je, utaishinda?”
7 Ukitenda mema, je, hutapata kibali tena?* Lakini usipotenda mema, dhambi inakunyemelea mlangoni, nayo inatamani sana kukutawala; lakini je, utaishinda?”