Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waroma 14:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Ninajua, nami ninaamini katika Bwana Yesu kwamba hakuna kitu ambacho ndani yake chenyewe ni kichafu;+ isipokuwa tu mtu anapokiona kitu kuwa kichafu, kwake yeye hicho huwa kichafu.

  • 1 Wakorintho 8:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kwa maana yeyote akikuona wewe uliye na ujuzi ukila mlo katika hekalu la sanamu, je, dhamiri ya huyo aliye dhaifu haitapata ujasiri kufikia hatua ya kula chakula kilichotolewa kwa sanamu?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki