Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waebrania 5:12-14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kwa maana, ingawa kufikia sasa* mnapaswa kuwa walimu, mnahitaji tena mtu awafundishe tangu mwanzo mambo ya msingi+ ya maneno matakatifu ya Mungu, nanyi mnahitaji maziwa tena, bali si chakula kigumu. 13 Kwa kuwa kila mtu anayeendelea kunywa maziwa hafahamu neno la uadilifu, kwa maana yeye ni mtoto mdogo.+ 14 Lakini chakula kigumu ni cha watu wakomavu, ambao wamezoeza nguvu zao za utambuzi* kwa kuzitumia ili kutofautisha mambo yaliyo sawa na mambo yasiyo sawa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki