1 Wakorintho 3:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Mtu yeyote asijidanganye: Ikiwa yeyote miongoni mwenu anafikiri ana hekima katika mfumo huu wa mambo,* acheni awe mpumbavu ili awe na hekima.
18 Mtu yeyote asijidanganye: Ikiwa yeyote miongoni mwenu anafikiri ana hekima katika mfumo huu wa mambo,* acheni awe mpumbavu ili awe na hekima.