Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 34:29, 30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Basi Musa akashuka Mlima Sinai akiwa amebeba mikononi yale mabamba mawili+ ya Ushahidi. Aliposhuka mlimani, Musa hakujua kwamba ngozi ya uso wake ilikuwa ikitoa miale kwa sababu alikuwa ameongea na Mungu. 30 Haruni na Waisraeli wote walipomtazama Musa, waliona kwamba ngozi ya uso wake ilikuwa ikitoa miale, wakaogopa kumkaribia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki