Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 27:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 “‘Amelaaniwa mtu ambaye hataunga mkono maneno haya ya Sheria kwa kuyatekeleza.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

  • Matendo 15:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Basi kwa nini sasa mnamjaribu Mungu kwa kuweka kwenye shingo za wanafunzi nira+ ambayo mababu zetu na sisi wenyewe tulishindwa kuibeba?+

  • Yakobo 2:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kwa maana ikiwa yeyote anatii Sheria yote lakini anajikwaa katika jambo moja, amekosa kuitii Sheria yote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki