Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wakorintho 12:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kwa maana kwa roho moja sote tulibatizwa katika mwili mmoja, iwe ni Wayahudi au ni Wagiriki, iwe ni watumwa au ni walio huru, nasi sote tulinyweshwa roho moja.

  • Wakolosai 3:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 na mjivike utu mpya,+ ambao kupitia ujuzi sahihi unafanywa kuwa mpya kulingana na mfano wa Yule aliyeuumba,+ 11 ambapo hakuna Mgiriki wala Myahudi, kutahiriwa wala kutotahiriwa, mgeni, Msikithe,* mtumwa, au mtu huru; bali Kristo ni kila kitu na yumo katika vitu vyote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki