Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waefeso 1:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 kama alivyotuchagua tuwe katika muungano naye* kabla ya kuwekwa msingi wa ulimwengu, ili tuwe watakatifu na bila dosari+ mbele zake katika upendo.

  • Wakolosai 1:21, 22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Kwa kweli, ninyi ambao zamani mlikuwa mmetengwa, nanyi mlikuwa adui kwa sababu akili zenu zilikuwa zikifikiria matendo maovu, 22 sasa amewapatanisha tena kwa njia ya mwili wenye nyama wa huyo kupitia kifo chake, ili awatoe ninyi mkiwa watakatifu na wasio na dosari na bila shtaka lolote mbele zake+—

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki