Yohana 15:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Mimi ndiye mzabibu; nanyi ndio matawi. Yeyote anayekaa katika muungano pamoja nami, nami katika muungano pamoja naye, huyo huzaa matunda mengi;+ kwa maana bila mimi hamwezi kufanya lolote kamwe.
5 Mimi ndiye mzabibu; nanyi ndio matawi. Yeyote anayekaa katika muungano pamoja nami, nami katika muungano pamoja naye, huyo huzaa matunda mengi;+ kwa maana bila mimi hamwezi kufanya lolote kamwe.