Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wakolosai 4:12, 13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Epafra,+ mtumwa wa Kristo Yesu, ambaye ametoka kwenu, anawatumia salamu zake. Sikuzote anajikaza kwa ajili yenu katika sala zake, ili mwishowe msimame mkiwa kamili na kwa usadikisho imara katika mapenzi yote ya Mungu. 13 Kwa maana ninamtolea ushahidi kwamba anajitahidi sana kwa ajili yenu na kwa ajili ya wale walio Laodikia na Hierapoli.

  • Filemoni 23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Epafra+ mfungwa mwenzangu katika muungano na Kristo Yesu anakusalimu,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki