-
Matendo 16:22-24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Umati ukasimama pamoja dhidi yao, nao wale mahakimu wa raia, baada ya kuyararua mavazi yao, wakaamuru wapigwe kwa fimbo.+ 23 Baada ya kuwapiga sana, wakawatupa gerezani na kumwagiza mlinzi wa jela awalinde.+ 24 Kwa sababu alipewa agizo hilo, akawatupa katika gereza la ndani zaidi na kuifunga miguu yao katika mikatale.
-