Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wathesalonike 4:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Muwe na lengo la kuishi kwa utulivu+ na kushughulika na mambo yenu wenyewe+ na kufanya kazi kwa mikono yenu,+ kama tulivyowaagiza, 12 ili mtembee kwa adabu machoni pa watu walio nje+ na msipungukiwe chochote.

  • 1 Timotheo 5:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Hakika ikiwa yeyote hawaandalii mahitaji watu wake mwenyewe, hasa watu wa nyumba yake, ameikana imani naye ni mbaya kuliko mtu asiye na imani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki