-
1 Wakorintho 15:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Amkeni kwa njia ya uadilifu na msiwe na mazoea ya kufanya dhambi, kwa maana wengine hawamjui Mungu. Ninasema ili kuwafanya mwone aibu.
-