-
Luka 2:36, 37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Kulikuwa na nabii wa kike aliyeitwa Ana, binti ya Fanueli, wa kabila la Asheri, ambaye alikuwa amezeeka. Alikuwa ameishi na mume wake kwa miaka saba baada ya kuolewa,* 37 na sasa alikuwa mjane mwenye umri wa miaka 84. Hakukosa kamwe hekaluni, akitoa utumishi mtakatifu usiku na mchana, akifunga na kutoa dua.
-