Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Chukua kiasi fulani cha damu ya huyo ng’ombe dume kwa kidole chako na kuitia kwenye pembe za madhabahu,+ kisha umwage damu yote inayobaki chini kwenye msingi wa madhabahu.+

  • Mambo ya Walawi 8:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Musa akamchinja, akachukua damu yake+ kwa kidole chake na kuzipaka pembe zote za madhabahu, akaitakasa madhabahu kutokana na dhambi, lakini damu iliyobaki aliimwaga kwenye msingi wa madhabahu, ili aitakase na kutoa juu yake dhabihu ya kufunika dhambi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki