Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 2:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Na kufikia siku ya saba, Mungu alikuwa amemaliza kazi aliyokuwa akifanya, naye akaanza kupumzika siku ya saba kutoka katika kazi yake yote aliyokuwa amefanya.+ 3 Na Mungu akaibariki siku ya saba na kuitangaza kuwa takatifu, kwa kuwa katika siku hiyo Mungu amekuwa akipumzika kutokana na kazi yake yote ya kuumba, vyote alivyokusudia kuumba.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki