Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 3:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kwa hiyo, mwanamke akaona kwamba mti huo ulifaa kwa chakula na kwamba ulikuwa kitu kinachotamanika kwa macho, naam, mti huo ulipendeza macho. Basi akaanza kuchuma matunda ya mti huo na kula.+ Baadaye, akampa pia mume wake baadhi ya matunda hayo alipokuwa pamoja naye, naye akaanza kula.+

  • 1 Yohana 2:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 kwa sababu kila kitu katika ulimwengu—tamaa ya mwili+ na tamaa ya macho+ na mtu kujionyesha mali zake maishani*—hakitokani na Baba, bali hutokana na ulimwengu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki