Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 6:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Wanefili* walikuwa duniani siku hizo na baadaye. Wakati huo wana wa Mungu wa kweli waliendelea kufanya ngono na mabinti wa wanadamu, nao wakawazalia wana. Wana hao walikuwa watu wenye nguvu wa nyakati za kale, wanaume maarufu.

  • Waefeso 6:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 kwa sababu tunapambana,*+ si dhidi ya damu na mwili, bali dhidi ya serikali, dhidi ya mamlaka, dhidi ya watawala wa ulimwengu wa giza hili, dhidi ya majeshi ya roho waovu+ katika mahali pa kimbingu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki