-
Wafilipi 2:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Kwa hiyo, wapendwa wangu, kama vile ambavyo mmekuwa mkitii sikuzote, si wakati tu ninapokuwapo, bali kwa utayari zaidi sasa nisipokuwapo, endeleeni kuufanyia kazi wokovu wenu wenyewe kwa kuogopa na kutetemeka.
-