-
Wafilipi 2:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa sababu hiyo, wapendwa wangu, kwa jinsi ambavyo mmetii sikuzote, si wakati wa kuwapo kwangu tu, bali kwa utayari zaidi sasa wakati wa kutokuwapo kwangu, fulizeni kufanyiza wokovu wenu wenyewe kwa hofu na kutetemeka;
-