Yohana 12:35 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 35 Basi Yesu akawaambia: “Nuru itakuwa miongoni mwenu kwa muda kidogo zaidi. Tembeeni wakati bado mna nuru, ili giza lisiwazidi nguvu; yeyote anayetembea katika giza hajui anakoenda.+
35 Basi Yesu akawaambia: “Nuru itakuwa miongoni mwenu kwa muda kidogo zaidi. Tembeeni wakati bado mna nuru, ili giza lisiwazidi nguvu; yeyote anayetembea katika giza hajui anakoenda.+