-
Ufunuo 1:13, 14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 na katikati ya vinara hivyo vya taa palikuwa na mtu kama mwana wa binadamu,+ aliyevaa vazi lililofika chini miguuni na kifuani alikuwa amevaa mshipi wa dhahabu. 14 Zaidi ya hayo, kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu nyeupe, kama theluji, na macho yake yalikuwa kama mwali wa moto,+
-