Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Mwanzo—Yaliyomo MWANZO YALIYOMO 1 Uumbaji wa mbingu na dunia (1, 2) Siku sita za kuitayarisha dunia (3-31) Siku ya 1: nuru; mchana na usiku (3-5) Siku ya 2: anga (6-8) Siku ya 3: nchi kavu na mimea (9-13) Siku ya 4: mianga ya mbinguni (14-19) Siku ya 5: samaki na ndege (20-23) Siku ya 6: wanyama wa nchi kavu na wanadamu (24-31) 2 Mungu apumzika siku ya saba (1-3) Yehova Mungu, Muumbaji wa mbingu na dunia (4) Mwanamume na mwanamke katika bustani ya Edeni (5-25) Mtu aumbwa kutokana na mavumbi (7) Mti uliokatazwa wa ujuzi (15-17) Kuumbwa kwa mwanamke (18-25) 3 Mwanzo wa dhambi ya wanadamu (1-13) Uwongo wa kwanza (4, 5) Yehova awahukumu waasi (14-24) Uzao wa mwanamke watabiriwa (15) Kufukuzwa Edeni (23, 24) 4 Kaini na Abeli (1-16) Wazao wa Kaini (17-24) Sethi na Enoshi mwanawe (25, 26) 5 Kuanzia Adamu mpaka Noa (1-32) Adamu azaa wana na mabinti (4) Enoko alitembea na Mungu (21-24) 6 Wana wa Mungu wajichukulia wake duniani (1-3) Wanefili wazaliwa (4) Uovu wa wanadamu wamhuzunisha Yehova (5-8) Noa aagizwa ajenge safina (9-16) Mungu atangaza kuja kwa Gharika (17-22) 7 Kuingia ndani ya safina (1-10) Gharika duniani kote (11-24) 8 Maji ya Gharika yapungua (1-14) Njiwa atumwa (8-12) Kutoka ndani ya safina (15-19) Ahadi ya Mungu kuhusu dunia (20-22) 9 Maagizo kwa wanadamu wote (1-7) Sheria kuhusu damu (4-6) Agano la upinde (8-17) Unabii mbalimbali kuhusu wazao wa Noa (18-29) 10 Orodha ya mataifa (1-32) Wazao wa Yafethi (2-5) Wazao wa Hamu (6-20) Nimrodi ampinga Yehova (8-12) Wazao wa Shemu (21-31) 11 Mnara wa Babeli (1-4) Yehova avuruga lugha (5-9) Kuanzia Shemu hadi Abramu (10-32) Familia ya Tera (27) Abramu ahama Uru (31) 12 Abramu ahama Harani na kwenda Kanaani (1-9) Ahadi ya Mungu kwa Abramu (7) Abramu na Sarai katika nchi ya Misri (10-20) 13 Abramu arudi Kanaani (1-4) Abramu na Loti watengana (5-13) Mungu arudia ahadi aliyompa Abramu (14-18) 14 Abramu amwokoa Loti (1-16) Melkizedeki ambariki Abramu (17-24) 15 Agano kati ya Mungu na Abramu (1-21) Miaka 400 ya mateso yatabiriwa (13) Mungu arudia ahadi aliyompa Abramu (18-21) 16 Hagari na Ishmaeli (1-16) 17 Abrahamu atakuwa baba wa mataifa mengi (1-8) Abramu apewa jina jipya, Abrahamu (5) Agano la kutahiri (9-14) Sarai apewa jina jipya, Sara (15-17) Aahidiwa kumzaa mwana aitwaye Isaka (18-27) 18 Malaika watatu wamtembelea Abrahamu (1-8) Sara aahidiwa kuzaa mwana; Sara acheka (9-15) Abrahamu amsihi Mungu asiangamize Sodoma (16-33) 19 Loti atembelewa na malaika (1-11) Loti na familia yake waagizwa waondoke (12-22) Majiji ya Sodoma na Gomora yaharibiwa (23-29) Mke wa Loti awa nguzo ya chumvi (26) Loti na mabinti wake (30-38) Mwanzo wa Wamoabu na Waamoni (37, 38) 20 Sara aokolewa kutoka mikononi mwa Abimeleki (1-18) 21 Isaka azaliwa (1-7) Ishmaeli amdhihaki Isaka (8, 9) Hagari na Ishmaeli wafukuzwa (10-21) Agano kati ya Abrahamu na Abimeleki (22-34) 22 Abrahamu aambiwa amtoe Isaka (1-19) Uzao wa Abrahamu utaleta baraka (15-18) Familia ya Rebeka (20-24) 23 Kifo cha Sara na mahali alipozikwa (1-20) 24 Isaka atafutiwa mke (1-58) Rebeka aenda kukutana na Isaka (59-67) 25 Abrahamu aoa tena (1-6) Kifo cha Abrahamu (7-11) Wana wa Ishmaeli (12-18) Yakobo na Esau wazaliwa (19-26) Esau auza haki yake ya mzaliwa wa kwanza (27-34) 26 Isaka na Rebeka wakiwa Gerari (1-11) Mungu amhakikishia Isaka kwamba atatimiza ahadi yake (3-5) Wagombania visima (12-25) Agano kati ya Isaka na Abimeleki (26-33) Wake wawili Wahiti wa Esau (34, 35) 27 Yakobo abarikiwa na Isaka (1-29) Esau atafuta baraka lakini akosa kutubu (30-40) Esau amchukia sana Yakobo (41-46) 28 Isaka amtuma Yakobo Padan-aramu (1-9) Ndoto ya Yakobo akiwa Betheli (10-22) Mungu amhakikishia Yakobo kwamba atatimiza ahadi yake (13-15) 29 Yakobo akutana na Raheli (1-14) Yakobo ampenda Raheli (15-20) Yakobo amwoa Lea na pia Raheli (21-29) Wana wanne wa Yakobo waliozaliwa na Lea: Rubeni, Simeoni, Lawi, na Yuda (30-35) 30 Bilha amzaa Dani na Naftali (1-8) Zilpa amzaa Gadi na Asheri (9-13) Lea amzaa Isakari na Zabuloni (14-21) Raheli amzaa Yosefu (22-24) Mifugo ya Yakobo yaongezeka (25-43) 31 Yakobo aenda kwa siri Kanaani (1-18) Labani amfikia Yakobo (19-35) Agano kati ya Yakobo na Labani (36-55) 32 Malaika wakutana na Yakobo (1, 2) Yakobo ajitayarisha kukutana na Esau (3-23) Yakobo apigana mweleka na malaika (24-32) Yakobo apewa jina jipya, Israeli (28) 33 Yakobo akutana na Esau (1-16) Yakobo asafiri kwenda Shekemu (17-20) 34 Dina abakwa (1-12) Wana wa Yakobo watenda kwa udanganyifu (13-31) 35 Yakobo aondoa miungu ya kigeni (1-4) Yakobo arudi Betheli (5-15) Benjamini azaliwa; Raheli afa (16-20) Wana 12 wa Israeli (21-26) Kifo cha Isaka (27-29) 36 Wazao wa Esau (1-30) Wafalme na mashehe wa Edomu (31-43) 37 Ndoto za Yosefu (1-11) Yosefu na ndugu zake wenye wivu (12-24) Yosefu auzwa utumwani (25-36) 38 Yuda na Tamari (1-30) 39 Yosefu katika nyumba ya Potifa (1-6) Yosefu ampinga mke wa Potifa aliyekuwa akimshawishi (7-20) Yosefu akiwa gerezani (21-23) 40 Yosefu aeleza maana ya ndoto za wafungwa wenzake (1-19) ‘Ni kazi ya Mungu kueleza maana ya ndoto’ (8) Karamu ya siku ya kuzaliwa kwa Farao (20-23) 41 Yosefu aeleza maana ya ndoto za Farao (1-36) Yosefu akwezwa na Farao (37-46a) Yosefu awekwa kuwa msimamizi wa chakula (46b-57) 42 Ndugu za Yosefu waenda Misri (1-4) Yosefu akutana na ndugu zake na kuwajaribu (5-25) Ndugu zake warudi nyumbani kwa Yakobo (26-38) 43 Ndugu za Yosefu warudi Misri mara ya pili wakiwa na Benjamini (1-14) Yosefu akutana tena na ndugu zake (15-23) Yosefu ala na kunywa na ndugu zake (24-34) 44 Kikombe cha fedha cha Yosefu chapatikana katika mfuko wa Benjamini (1-17) Yuda asihi Benjamini aachiliwe (18-34) 45 Yosefu ajitambulisha (1-15) Ndugu za Yosefu warudi kumchukua Yakobo (16-28) 46 Yakobo na familia yake wahamia Misri (1-7) Majina ya waliohamia Misri (8-27) Yosefu na Yakobo wakutana Gosheni (28-34) 47 Yakobo akutana na Farao (1-12) Usimamizi wenye hekima wa Yosefu (13-26) Israeli aishi Gosheni (27-31) 48 Yakobo awabariki wana wawili wa Yosefu (1-12) Efraimu apata baraka kubwa zaidi (13-22) 49 Unabii wa Yakobo alipokuwa akifa (1-28) Shilo atatoka Yuda (10) Maagizo ya kumzika Yakobo (29-32) Kifo cha Yakobo (33) 50 Yosefu amzika Yakobo Kanaani (1-14) Yosefu awahakikishia ndugu zake kwamba amewasamehe (15-21) Siku za mwisho za Yosefu na kifo chake (22-26) Amri ya Yosefu kuhusu mifupa yake (25)