Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Kutoka—Yaliyomo KUTOKA YALIYOMO 1 Waisraeli waongezeka Misri (1-7) Farao awakandamiza Waisraeli (8-14) Wakunga waliomwogopa Mungu hawakuwaua watoto (15-22) 2 Musa azaliwa (1-4) Binti ya Farao amchukua Musa kuwa mwanawe (5-10) Musa akimbilia Midiani na kumwoa Sipora (11-22) Mungu asikia kilio cha uchungu cha Waisraeli (23-25) 3 Musa na kichaka cha miiba kilichowaka moto (1-12) Yehova aeleza maana ya jina Lake (13-15) Yehova ampa Musa maagizo (16-22) 4 Ishara tatu ambazo Musa angefanya (1-9) Musa ahisi hastahili (10-17) Musa arudi Misri (18-26) Musa akutana tena na Haruni (27-31) 5 Musa na Haruni wakiwa mbele ya Farao (1-5) Ukandamizaji wazidi (6-18) Waisraeli wamlaumu Musa na Haruni (19-23) 6 Ahadi ya kuwekwa huru yarudiwa (1-13) Jina Yehova halikujulikana kikamili (2, 3) Ukoo wa Musa na Haruni (14-27) Musa kufika tena mbele ya Farao (28-30) 7 Yehova amwimarisha Musa (1-7) Fimbo ya Haruni yawa nyoka mkubwa (8-13) Pigo la 1: maji yageuzwa kuwa damu (14-25) 8 Pigo la 2: vyura (1-15) Pigo la 3: mbu (16-19) Pigo la 4: nzi (20-32) Nchi ya Gosheni haikuathiriwa (22, 23) 9 Pigo la 5: kufa kwa mifugo (1-7) Pigo la 6: wanadamu na wanyama wapatwa na majipu (8-12) Pigo la 7: mvua ya mawe (13-35) Farao ataona nguvu za Mungu (16) Jina la Yehova litatangazwa (16) 10 Pigo la 8: nzige (1-20) Pigo la 9: giza (21-29) 11 Pigo la kumi latangazwa (1-10) Waisraeli watawaomba Wamisri zawadi (2) 12 Kuanzishwa kwa Pasaka (1-28) Damu itanyunyizwa kwenye miimo ya mlango (7) Pigo la 10: wazaliwa wa kwanza wauawa (29-32) Safari ya Kutoka Misri yaanza (33-42) Miaka 430 yafikia mwisho (40, 41) Maagizo ya kushiriki Pasaka (43-51) 13 Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume ni wa Yehova (1, 2) Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu (3-10) Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atolewa kwa Mungu (11-16) Waisraeli waelekezwa kwenye Bahari Nyekundu (17-20) Nguzo ya wingu na moto (21, 22) 14 Waisraeli wafika baharini (1-4) Farao awafuatia Waisraeli (5-14) Waisraeli wavuka Bahari Nyekundu (15-25) Wamisri wazama baharini (26-28) Waisraeli wawa na imani katika Yehova (29-31) 15 Musa na Waisraeli waimba wimbo wa ushindi (1-19) Miriamu aimba akiwaitikia wanaume (20, 21) Maji machungu yageuzwa kuwa matamu (22-27) 16 Waisraeli wanung’unika kuhusu chakula (1-3) Yehova asikia manung’uniko yao (4-12) Wapewa mana na kware (13-21) Hakuna mana siku ya Sabato (22-30) Mana yahifadhiwa kuwa ukumbusho (31-36) 17 Walalamika kuhusu ukosefu wa maji huko Horebu (1-4) Maji yatoka mwambani (5-7) Waamaleki wawashambulia na kuwashinda (8-16) 18 Yethro na Sipora wawasili (1-12) Ushauri wa Yethro wa kuwaweka waamuzi (13-27) 19 Kwenye Mlima Sinai (1-25) Waisraeli watakuwa ufalme wa makuhani (5, 6) Watu watakaswa ili wakutane na Mungu (14, 15) 20 Amri Kumi (1-17) Matukio ya ajabu yawaogopesha Waisraeli (18-21) Maagizo kuhusu ibada (22-26) 21 Waisraeli wapewa sheria (1-36) Kuhusu watumwa Waebrania (2-11) Kuhusu kumtendea mtu mwingine kwa ukatili (12-27) Kuhusu wanyama (28-36) 22 Waisraeli wapewa sheria (1-31) Kuhusu wizi (1-4) Kuhusu kuharibu mazao (5, 6) Kuhusu kulipia hasara na kumiliki mali (7-15) Kuhusu kutongoza (16, 17) Kuhusu ibada na kutenda haki katika jamii (18-31) 23 Waisraeli wapewa sheria (1-19) Kuhusu unyoofu na kutenda wema (1-9) Kuhusu sabato na sherehe mbalimbali (10-19) Waisraeli waongozwa na malaika (20-26) Kuimiliki nchi na mipaka ya nchi (27-33) 24 Watu wakubali kushika agano (1-11) Musa akiwa kwenye Mlima Sinai (12-18) 25 Michango kwa ajili ya hema la ibada (1-9) Sanduku la Agano (10-22) Meza (23-30) Kinara cha taa (31-40) 26 Hema la ibada (1-37) Vitambaa vya hema (1-14) Viunzi na vikalio (15-30) Mapazia (31-37) 27 Madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa (1-8) Ua (9-19) Mafuta kwa ajili ya taa (20, 21) 28 Mavazi ya kuhani (1-5) Efodi (6-14) Kifuko cha kifuani (15-30) Urimu na Thumimu (30) Joho lisilo na mikono (31-35) Kilemba chenye bamba la dhahabu (36-39) Mavazi mengine ya kuhani (40-43) 29 Makuhani wawekwa rasmi (1-37) Matoleo ya kila siku (38-46) 30 Madhabahu ya uvumba (1-10) Kuhesabiwa kwa watu na pesa za dhabihu ya kufunika dhambi (11-16) Beseni la shaba la kunawia mikono na miguu (17-21) Mchanganyiko wa pekee wa mafuta yanayotumiwa kutia mafuta (22-33) Utaratibu wa kutengeneza uvumba mtakatifu (34-38) 31 Mafundi wajazwa roho ya Mungu (1-11) Sabato, ishara kati ya Mungu na Waisraeli (12-17) Mabamba mawili ya mawe (18) 32 Ibada ya ndama wa dhahabu (1-35) Musa asikia uimbaji usio wa kawaida (17, 18) Musa ayavunjavunja mabamba ya sheria (19) Walawi wabaki washikamanifu kwa Yehova (26-29) 33 Mungu awakaripia Waisraeli (1-6) Hema la mkutano nje ya kambi (7-11) Musa aomba kuona utukufu wa Yehova (12-23) 34 Mabamba mapya ya mawe yatengenezwa (1-4) Musa aona utukufu wa Yehova (5-9) Maagizo kuhusu agano yarudiwa (10-28) (10-28) Uso wa Musa watoa miale (29-35) 35 Maagizo kuhusu Sabato (1-3) Michango ya hema la ibada (4-29) Bezaleli na Oholiabu wajazwa roho (30-35) 36 Michango yazidi (1-7) Ujenzi wa hema la ibada (8-38) 37 Kutengeneza sanduku la agano (1-9) Meza (10-16) Kinara cha taa (17-24) Madhabahu ya uvumba (25-29) 38 Madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa (1-7) Beseni la shaba (8) Ua (9-20) Orodha ya vifaa vya hema la ibada (21-31) 39 Kutengeneza mavazi ya kuhani (1) Efodi (2-7) Kifuko cha kifuani (8-21) Joho lisilo na mikono (22-26) Mavazi mengine ya kuhani (27-29) Bamba la dhahabu (30, 31) Musa akagua hema la ibada (32-43) 40 Ujenzi wa hema la ibada (1-33) Utukufu wa Yehova wajaa katika hema la ibada (34-38)