Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Mhubiri—Yaliyomo MHUBIRI YALIYOMO 1 Kila kitu ni ubatili (1-11) Dunia inadumu milele (4) Mizunguko ya asili huendelea (5-7) Hakuna jambo jipya chini ya jua (9) Hekima ya wanadamu ni duni (12-18) Kukimbiza upepo (14) 2 Maelezo kuhusu mambo aliyotimiza Sulemani (1-11) Hekima ya wanadamu haina faida kubwa (12-16) Ubatili wa kazi ya jasho (17-23) Ule, unywe, na kufurahia kazi (24-26) 3 Kila jambo lina wakati wake (1-8) Kufurahia maisha ni zawadi kutoka kwa Mungu (9-15) Umilele umo ndani ya mioyo ya wanadamu (11) Mungu huwahukumu wote kwa haki (16, 17) Wanadamu na wanyama wote hufa (18-22) Wote watarudi mavumbini (20) 4 Ukandamizaji ni mbaya kuliko kifo (1-3) Maoni yanayofaa kuhusu kazi (4-6) Faida ya rafiki (7-12) Wawili ni bora (9) Maisha ya mtawala yanaweza kuwa ya ubatili (13-16) 5 Mkaribie Mungu kwa woga unaofaa (1-7) Walio chini hutazamwa na walio juu zaidi (8, 9) Ubatili wa utajiri (10-20) Wanaopenda pesa hawatosheki kamwe (10) Usingizi wa mfanyakazi ni mtamu (12) 6 Mali bila furaha (1-6) Furahia ulicho nacho (7-12) 7 Jina zuri na siku ya kufa (1-4) Kemeo la mtu mwenye hekima (5-7) Mwisho ni bora kuliko mwanzo (8-10) Faida ya hekima (11, 12) Siku njema na siku mbaya (13-15) Usipite kiasi (16-22) Aliyoyaona mkutanishaji (23-29) 8 Mwanadamu asiye mkamilifu anapotawala (1-17) Tii amri za mfalme (2-4) Madhara ya utawala wa mwanadamu (9) Hukumu isipotekelezwa upesi (11) Ule, unywe, na kufurahia (15) 9 Wote hupatwa na jambo lilelile (1-3) Furahia maisha licha ya kwamba utakufa (4-12) Waliokufa hawajui jambo lolote (5) Hakuna kazi yoyote Kaburini (10) Wakati na matukio yasiyotarajiwa (11) Hekima haithaminiwi sikuzote (13-18) 10 Upumbavu kidogo huharibu hekima (1) Hatari za upumbavu (2-11) Madhara ya kuwa mjinga (12-15) Upumbavu miongoni mwa watawala (16-20) Huenda ndege akarudia maneno uliyosema (20) 11 Tumia fursa unayopata (1-8) Tupa mkate wako juu ya maji (1) Panda mbegu kuanzia asubuhi mpaka jioni (6) Furahia ujana wako kwa njia inayofaa (9, 10) 12 Mkumbuke Muumba kabla hujazeeka (1-8) Hitimisho la maneno ya mkutanishaji (9-14) Maneno ya hekima ni kama michokoo ya kuongozea ng’ombe (11) Mwogope Mungu wa kweli (13)