Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Yohana—Yaliyomo YOHANA YALIYOMO 1 Neno akawa mwili (1-18) Ushahidi uliotolewa na Yohana Mbatizaji (19-28) Yesu, Mwanakondoo wa Mungu (29-34) Wanafunzi wa kwanza wa Yesu (35-42) Filipo na Nathanaeli (43-51) 2 Harusi huko Kana; abadili maji kuwa divai (1-12) Yesu asafisha hekalu (13-22) Yesu anajua kilicho ndani ya mwanadamu (23-25) 3 Yesu na Nikodemo (1-21) Kuzaliwa tena (3-8) Mungu aliupenda ulimwengu (16) Yohana atoa ushahidi wa mwisho kumhusu Yesu (22-30) Yule aliyetoka juu (31-36) 4 Yesu na mwanamke Msamaria (1-38) Mwabudu Mungu “kwa roho na kweli” (23, 24) Wasamaria wengi wamwamini Yesu (39-42) Yesu amponya mwana wa ofisa (43-54) 5 Mwanamume mgonjwa aponywa Bethzatha (1-18) Yesu apewa mamlaka na baba yake (19-24) Wafu watasikia sauti ya Yesu (25-30) Ushahidi kumhusu Yesu (31-47) 6 Yesu alisha wanaume 5,000 (1-15) Yesu atembea juu ya maji (16-21) Yesu ndiye “mkate wa uzima” (22-59) Wengi wakwazwa na maneno ya Yesu (60-71) 7 Yesu akiwa kwenye Sherehe ya Vibanda (1-13) Yesu afundisha kwenye sherehe (14-24) Maoni mbalimbali kumhusu Yesu (25-52) 8 Baba hutoa ushahidi kumhusu Yesu (12-30) Yesu ndiye “nuru ya ulimwengu” (12) Watoto wa Abrahamu (31-41) “Kweli itawaweka ninyi huru” (32) Watoto wa Ibilisi (42-47) Yesu na Abrahamu (48-59) 9 Yesu amponya mwanamume aliyezaliwa kipofu (1-12) Mafarisayo wamuuliza maswali mwanamume aliyeponywa (13-34) Upofu wa Mafarisayo (35-41) 10 Mchungaji na kondoo (1-21) Yesu ndiye mchungaji mwema (11-15) “Nina kondoo wengine” (16) Wayahudi wakutana na Yesu kwenye Sherehe ya Wakfu (22-39) Wayahudi wengi wakataa kuamini (24-26) “Kondoo wangu husikiliza sauti yangu” (27) Mwana yuko katika muungano na Baba (30, 38) Watu wengi ng’ambo ya Yordani waamini (40-42) 11 Kifo cha Lazaro (1-16) Yesu awafariji Martha na Maria (17-37) Yesu amfufua Lazaro (38-44) Njama ya kumuua Yesu (45-57) 12 Maria ammiminia Yesu mafuta miguuni (1-11) Yesu aingia kwa kishindo (12-19) Yesu atabiri kifo chake (20-37) Ukosefu wa imani wa Wayahudi watimiza unabii (38-43) Yesu alikuja kuuokoa ulimwengu (44-50) 13 Yesu aosha miguu ya wanafunzi wake (1-20) Yesu amtambulisha Yuda kuwa msaliti (21-30) Amri mpya (31-35) “Mkiwa na upendo miongoni mwenu” (35) Yesu atabiri Petro atamkana (36-38) 14 Yesu ndiye njia pekee ya kumkaribia Mungu (1-14) ‘Mimi ndiye njia, kweli, na uzima’ (6) Yesu awaahidi wanafunzi roho takatifu (15-31) “Baba ni mkuu kuliko mimi” (28) 15 Mfano wa mzabibu wa kweli (1-10) Amri ya kuonyesha upendo kama wa Kristo (11-17) ‘Hakuna aliye na upendo mkuu kuliko huu’ (13) Ulimwengu unawachukia wanafunzi wa Yesu (18-27) 16 Wanafunzi wa Yesu watakabili kifo (1-4a) Kazi ya roho takatifu (4b-16) Huzuni ya wanafunzi itageuka kuwa shangwe (17-24) Yesu aushinda Ulimwengu (25-33) 17 Yesu asali mara ya mwisho akiwa na wanafunzi wake (1-26) Uzima wa milele ndio huu, kumjua Mungu (3) Wakristo si sehemu ya ulimwengu (14-16) “Neno lako ni kweli” (17) “Nimewajulisha jina lako” (26) 18 Yuda amsaliti Yesu (1-9) Petro atumia upanga (10, 11) Yesu apelekwa kwa Anasi (12-14) Petro amkana Yesu mara ya kwanza (15-18) Yesu mbele ya Anasi (19-24) Petro amkana Yesu mara ya pili na ya tatu (25-27) Yesu mbele ya Pilato (28-40) “Ufalme wangu si sehemu ya ulimwengu huu” (36) 19 Yesu apigwa na kudhihakiwa (1-7) Pilato amuuliza tena Yesu maswali (8-16a) Yesu atundikwa kwenye mti huko Golgotha (16b-24) Yesu amfanyia mama yake maandalizi (25-27) Yesu afa (28-37) Yesu azikwa (38-42) 20 Kaburi tupu (1-10) Yesu amtokea Maria Magdalene (11-18) Yesu awatokea wanafunzi wake (19-23) Tomasi awa na shaka lakini baadaye asadikishwa (24-29) Kusudi la kitabu hiki cha kukunjwa (30, 31) 21 Yesu awatokea wanafunzi wake (1-14) Petro amhakikishia Yesu kwamba anampenda (15-19) “Lisha kondoo wangu wadogo” (17) Wakati ujao wa mwanafunzi aliyependwa na Yesu (20-23) Umalizio (24, 25)