Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Waebrania—Yaliyomo WAEBRANIA YALIYOMO 1 Mungu azungumza kupitia Mwana wake (1-4) Mwana ni mkuu kuliko malaika (5-14) 2 Kazia uangalifu zaidi kuliko ilivyo kawaida (1-4) Vitu vyote vimetiishwa kwa Yesu (5-9) Yesu na ndugu zake (10-18) Wakili Mkuu wa wokovu wao (10) Kuhani mkuu mwenye rehema (17) 3 Yesu ni mkuu kuliko Musa (1-6) Vitu vyote vilitengenezwa na Mungu (4) Onyo dhidi ya kukosa imani (7-19) “Leo ikiwa mtaisikiliza sauti yake” (7, 15) 4 Hatari ya kutoingia katika pumziko la Mungu (1-10) Himizo la kuingia katika pumziko la Mungu (11-13) Neno la Mungu liko hai (12) Yesu, kuhani mkuu aliye bora (14-16) 5 Yesu ni mkuu kuliko makuhani wakuu wanadamu (1-10) Kwa mfano wa Melkizedeki (6, 10) Alijifunza utii kutokana na mateso (8) Ana daraka la kuleta wokovu wa milele (9) Onyo dhidi ya kukosa ukomavu (11-14) 6 Kusonga mbele kuelekea ukomavu (1-3) Wale wanaoanguka wanamtundika tena Mwana kwenye mti (4-8) Fanyeni tumaini lenu kuwa hakika (9-12) Uhakika wa ahadi ya Mungu (13-20) Ahadi na kiapo cha Mungu havibadiliki (17, 18) 7 Melkizedeki, mfalme na kuhani wa pekee (1-10) Ubora wa ukuhani wa Kristo (11-28) Kristo anaweza kuokoa kikamili (25) 8 Maskani iliwakilisha vitu vya mbinguni (1-6) Tofauti kati ya agano la kale na agano jipya (7-13) 9 Utumishi mtakatifu katika hekalu la duniani (1-10) Kristo aingia mbinguni akiwa na damu yake (11-28) Mpatanishi wa agano jipya (15) 10 Dhabihu za wanyama haziwezi kuondoa dhambi (1-4) Sheria ni kivuli (1) Dhabihu ya Kristo ilitolewa mara moja kwa wakati wote (5-18) Njia mpya ya kuingia yenye uzima (19-25) Tusiache kukutana pamoja (24, 25) Onyo dhidi ya dhambi ya kimakusudi (26-31) Uhakika na imani ili kuvumilia (32-39) 11 Maana ya imani (1, 2) Mifano ya imani (3-40) Haiwezekani kumpendeza Mungu bila imani (6) 12 Yesu, Mkamilishaji wa imani yetu (1-3) Wingu kubwa la mashahidi (1) Usiipuuze nidhamu ya Yehova (4-11) Fanyia miguu yako mapito yaliyonyooka (12-17) Kukaribia Yerusalemu la mbinguni (18-29) 13 Himizo na salamu za kumalizia (1-25) Msisahau kuwakaribisha wageni (2) Ndoa na iheshimiwe (4) Watiini wale wanaoongoza (7, 17) Kutoa dhabihu ya sifa (15, 16)