Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Yoshua—Yaliyomo YOSHUA YALIYOMO 1 Yehova amtia moyo Yoshua (1-9) Soma Sheria kwa sauti ya chini (8) Matayarisho ya kuvuka Yordani (10-18) 2 Yoshua atuma wapelelezi wawili Yeriko (1-3) Rahabu awaficha wapelelezi (4-7) Rahabu apewa ahadi (8-21a) Ishara ya kamba nyekundu (18) Wapelelezi warudi kwa Yoshua (21b-24) 3 Waisraeli wavuka Yordani (1-17) 4 Mawe ya ukumbusho (1-24) 5 Waisraeli watahiriwa kule Gilgali (1-9) Sherehe ya Pasaka; mwisho wa mana (10-12) Mkuu wa jeshi la Yehova (13-15) 6 Kuta za Yeriko zaanguka (1-21) Rahabu na familia yake waokolewa (22-27) 7 Waisraeli washindwa kule Ai (1-5) Sala ya Yoshua (6-9) Dhambi yasababisha Waisraeli washindwe (10-15) Akani afichuliwa na kupigwa mawe (16-26) 8 Yoshua avamia Ai (1-13) Jiji la Ai latekwa (14-29) Sheria yasomwa kwenye Mlima Ebali (30-35) 9 Wagibeoni wajanja watafuta amani (1-15) Hila ya Wagibeoni yagunduliwa (16-21) Wagibeoni watakuwa watekaji wa maji na wakusanyaji wa kuni (22-27) 10 Waisraeli wawatetea Wagibeoni (1-7) Yehova awapigania Waisraeli (8-15) Mawe yawaangukia maadui wanaokimbia (11) Jua lasimama tuli (12-14) Wafalme watano wa maadui wauawa (16-28) Majiji ya kusini yatekwa (29-43) 11 Majiji ya kaskazini yatekwa (1-15) Muhtasari wa ushindi wa Yoshua (16-23) 12 Wafalme wa mashariki mwa Yordani washindwa (1-6) Wafalme wa magharibi mwa Yordani washindwa (7-24) 13 Maeneo ambayo hayajatekwa (1-7) Kugawanywa kwa maeneo mashariki mwa Yordani (8-14) Urithi wa kabila la Rubeni (15-23) Urithi wa kabila la Gadi (24-28) Urithi wa kabila la Manase upande wa mashariki (29-32) Yehova ni urithi wa Walawi (33) 14 Kugawanywa kwa maeneo magharibi mwa Yordani (1-5) Kalebu arithi Hebroni (6-15) 15 Urithi wa kabila la Yuda (1-12) Binti ya Kalebu apewa eneo (13-19) Majiji ya Yuda (20-63) 16 Urithi wa wazao wa Yosefu (1-4) Urithi wa kabila la Efraimu (5-10) 17 Urithi wa kabila la Manase upande wa magharibi (1-13) Maeneo zaidi kwa ajili ya wazao wa Yosefu (14-18) 18 Maeneo yaliyobaki yagawanywa huko Shilo (1-10) Urithi wa kabila la Benjamini (11-28) 19 Urithi wa kabila la Simeoni (1-9) Urithi wa kabila la Zabuloni (10-16) Urithi wa kabila la Isakari (17-23) Urithi wa kabila la Asheri (24-31) Urithi wa kabila la Naftali (32-39) Urithi wa kabila la Dani (40-48) Urithi wa Yoshua (49-51) 20 Majiji ya makimbilio (1-9) 21 Majiji ya Walawi (1-42) Ya wazao wa Haruni (9-19) Ya Wakohathi waliobaki (20-26) Ya Wagershoni (27-33) Ya Wamerari (34-40) Ahadi za Yehova zatimia (43-45) 22 Makabila ya mashariki yarudi nyumbani (1-8) Madhabahu yajengwa karibu na Yordani (9-12) Kusudi la madhabahu laelezwa (13-29) Mgogoro wasuluhishwa (30-34) 23 Maneno ya mwisho ya Yoshua kwa viongozi wa Waisraeli (1-16) Hakuna ahadi yoyote ya Yehova iliyokosa kutimia (14) 24 Yoshua awakumbusha Waisraeli historia yao (1-13) Awahimiza wamtumikie Yehova (14-24) “Mimi na familia yangu, tutamtumikia Yehova” (15) Yoshua afanya agano na Waisraeli (25-28) Yoshua afa na kuzikwa (29-31) Mifupa ya Yosefu yazikwa Shekemu (32) Eleazari afa na kuzikwa (33)