Ukurasa wa Kichwa/Ukurasa wa Wachapishaji
Biblia Takatifu Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Biblia hii imetafsiriwa kutoka chapa ya Kiingereza ya New World Translation of the Holy Scriptures, iliyorekebishwa 1984
“Bwana mwenye enzi kuu Yehova [יהוה, YHWH] amesema hivi: ‘ . . . Mimi ninaumba mbingu mpya na dunia mpya; na mambo ya zamani hayatakumbukwa akilini, wala hayataingia moyoni.’”—Isaya 65:13, 17; ona pia 2 Petro 3:13.
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wachapishaji
WATCHTOWER BIBLE AND TRACT SOCIETY OF NEW YORK, INC.
Biblia hii imechapishwa ikiwa nzima katika Cibemba, Kiafrikana, Kialbania, Kiarabu, Kiarmenia, Kibulgaria, Kicebuano, Kicheki, Kichichewa, Kichina, Kichina [Sahili], Kidenmarki, Kifaransa, Kifini, Kigeorgia, Kigiriki, Kihispania (pia katika Maandishi ya Vipofu), Kiholanzi, Kihosa, Kihungaria, Kiiloko, Kiigbo, Kiindonesia, Kiingereza (pia katika Maandishi ya Vipofu), Kiitaliano, Kijapani, Kijerumani, Kikorea, Kikroatia, Kimakedonia, Kimalagasi, Kimalta, Kinorway, Kinyarwanda, Kiosetia, Kipolandi, Kireno (pia katika Maandishi ya Vipofu), Kiromani, Kirundi, Kirusi, Kisamoa, Kisebuano, Kisepedi, Kiserbia (Kiromani), Kisesotho, Kishona, Kisinhala, Kislovaki, Kislovenia, Kiswahili, Kiswedi, Kitagalogi, Kitsonga, Kitswana, Kiyoruba, Kizulu, na Lingala
(Pia Biblia hii imechapishwa ikiwa sehemu katika Kiamhara, Kiazerbaijani, Kiazerbaijani (Kiromani), Kichitonga, Kiefiki, Kiestonia, Kiewe, Kifiji, Kiganda, Kigun, Kihiligayon, Kihindi, Kiitaliano (Maandishi ya Vipofu), Kikambodia, Kikannada, Kikirghiz, Kikiribati, Kimalayalam, Kimyanmar, Kipangasini, Kisango, Kisranatongo, Kitamil, Kithai, Kitumbuka, Kiukrania, Krioli ya Haiti, Lugha ya Ishara ya Brazili [katika DVD], Lugha ya Ishara ya Italia [katika DVD], Lugha ya Ishara ya Kolombia [katika DVD], Lugha ya Ishara ya Marekani [katika DVD], na Lugha ya Ishara ya Mexico [katika DVD], Lugha ya Ishara ya Urusi [katika DVD]).
Nakala 171,231,300 za Chapa Zote za Tafsiri ya Ulimwengu Mpya zimechapwa
Chapa ya 2006