Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • nwt uku. 6-uku. 7
  • Swali la 1: Mungu Ni Nani?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Swali la 1: Mungu Ni Nani?
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Swali la 1: Mungu Ni Nani?

SWALI LA 1

Mungu Ni Nani?

Mtu anatazama mbinguni

“Na watu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Yehova, wewe peke yako ndiye Uliye Juu Zaidi, juu ya dunia yote.”

Zaburi 83:⁠18

“Jueni kwamba Yehova ni Mungu. Yeye ndiye aliyetuumba, na sisi ni mali yake.”

Zaburi 100:3

“Mimi ni Yehova. Hilo ndilo jina langu; simpi yeyote utukufu wangu, wala kuzipa sanamu za kuchongwa sifa yangu.”

Isaya 42:8

“Kila mtu anayeliitia jina la Yehova ataokolewa.”

Waroma 10:⁠13

“Bila shaka, kila nyumba hujengwa na mtu fulani, lakini yule aliyevijenga vitu vyote ni Mungu.”

Waebrania 3:4

“Inueni macho yenu mbinguni mwone. Ni nani aliyeviumba vitu hivi? Ni Yule anayelileta nje jeshi lao kwa hesabu; huziita zote kwa majina. Kwa sababu ya nguvu zake nyingi zenye msukumo na nguvu zake zenye kuogopesha, hakuna hata moja inayokosekana.”

Isaya 40:⁠26

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki