Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • nwt uku. 32-uku. 33
  • Swali la 18: Unawezaje kumkaribia Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Swali la 18: Unawezaje kumkaribia Mungu
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Swali la 18: Unawezaje kumkaribia Mungu

SWALI LA 18

Unawezaje kumkaribia Mungu?

“Ee Msikiaji wa sala, watu wa kila aina watakujia.”

Zaburi 65:2

“Mtumaini Yehova kwa moyo wako wote, wala usitegemee uelewaji wako mwenyewe. Katika njia zako zote mtambue yeye, naye atavinyoosha vijia vyako.”

Methali 3:​5, 6

“Uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na yule uliyemtuma, Yesu Kristo.”

Yohana 17:3

“Kwa hakika, [Mungu] hayuko mbali na kila mmoja wetu.”

Matendo 17:⁠27

“Hili ndilo ninaloendelea kusali, kwamba upendo wenu uwe mwingi zaidi na zaidi pamoja na ujuzi sahihi na utambuzi kamili.”

Wafilipi 1:9

“Ikiwa yeyote kati yenu anakosa hekima, na aendelee kumwomba Mungu, kwa maana yeye huwapa wote kwa ukarimu na bila kushutumu, naye atapewa.”

Yakobo 1:5

“Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Safisheni mikono yenu, ninyi watenda dhambi, na takaseni mioyo yenu, ninyi mnaositasita.”

Yakobo 4:8

“Kwa maana kumpenda Mungu humaanisha hivi, kwamba tushike amri zake; na bado amri zake si mzigo mzito.”

1 Yohana 5:3

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki