Kwa Nini Mungu Huruhusu Hili?
Habari mbaya ni uhakika wa maisha, lakini kwa nini zipo kwa wingi sana? Kwa nini kuna uovu mwingi sana? Kuwako kwao kwaweza kupatanishwaje na imani katika Mungu mwenye upendo? Je! kuna wakati ambapo uovu utaisha?
Majibu kwa maswali haya na mengine ya maana hupatikana katika Biblia. Majibu yahusisha wewe na jamaa yako. Yahusisha furaha yako. Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani ni kitabu ambacho hutoa tumaini kwa kukuelekeza kwenye majibu ya Biblia.
Kurasa 256 za kitabu hicho, zenye ukubwa kama ukurasa huu wa gazeti hili, zimejawa na vielezi vya kufundishia zaidi ya 150, vingi vikiwa kwa rangi ya kupendeza. Agiza sasa. Ni Kshs. 60/= (Tshs. 360/=; RWF 300) tu.
Tafadhali mnipelekee kile kitabu chenye jalada gumu cha kurasa 256 Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani.
Mimi nawapelekea Kshs. 60/= (Tshs. 360/=; RWF 300).
Foto ya mandhari-nyuma: U.S. National Archives