Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g90 3/8 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—1990
Amkeni!—1990
g90 3/8 uku. 2

Ukurasa wa Pili

Kuvuta au kutovuta sigareti, hilo ndilo swali. Kwa kawaida mtu hukabili swali hilo akiwa kijana tineja. Hakuna sharti lenye kuhusika. Ni uamuzi wa hiari ya mtu. Lakini kulingana na wenye mamlaka ya tiba, huo ni uamuzi ambao ungeweza kuwa na matokeo mazito katika maisha yako. Ungeweza hata kuamua utakufa wakati gani na jinsi gani.

Kwa hiyo, maswali ya maana yatokezwa: Je! ni tabia njema kutangaza bidhaa za tumbako? Je! laweza kutetewa kuwa jambo lenye haki ya kiadili kwa yale yaitwayo eti mataifa ya Kikristo kusafirisha bidhaa zayo za tumbako, huku yakizipakua juu ya mataifa mengine? Je! wauzaji wa sigareti wanauza ugonjwa na kifo? Na kwa kuwa watu ndio huchagua kuvuta sigareti, je! kuna ubaya wowote?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki