Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g90 4/8 uku. 32
  • Jinsi Ndoa Hii Ilivyookolewa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jinsi Ndoa Hii Ilivyookolewa
  • Amkeni!—1990
Amkeni!—1990
g90 4/8 uku. 32

Jinsi Ndoa Hii Ilivyookolewa

“Kutumia mashauri yaliyo katika kitabu Kufanya Maisha ya Jamaa Yako Yawe Yenye Furaha kuliokoa ndoa yangu,” akaandika msomaji mmoja mwenye uthamini wa kutoka Afrika Kusini. “Sura ya 5, ‘Mke Anayependwa Sana,’ ilifungua macho yangu. Mimi nilikuwa sijapata kamwe kamwe kuwazia kwamba ningeweza kusababisha matatizo mengi jinsi hivyo. Asanteni sana, tena sana. Ndoa yangu ilikuwa imekuwa katika matatizo makubwa sana kama katika sehemu zenye dhoruba kali zaidi baharini, na sasa, baada ya miezi kadhaa, imerudi katika bandari tulivu yenye furaha.”

Ikiwa wewe watamani kufanya ndoa yako iwe yenye furaha zaidi, waweza kunufaika na kitabu hiki. Pokea nakala kwa kujaza na kutupelekea hati yenye anwani iliyopo chini.

Tafadhali mnipelekee kile kitabu chenye jalada gumu cha kurasa 192, Kufanya Maisha ya Jamaa Yako Yawe Yenye Furaha. Mimi nawapelekea Kshs. 20/= (Tshs. 120/=; RWF 100).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki