Ukurasa wa Pili
Kwa muda mrefu wanadamu wamesisimuliwa na wazo la kwamba kuna uhai ng’ambo ya dunia. Kuanzia kile kifaa cha umeme cha zamani ya 1899 (juu kulia) hadi darubini kubwa sana za redio (chini) zilizotumiwa mara ya kwanza katika 1957 hadi vipeleleza anga kama 1976 Viking (juu kushoto), kumekuwako jaribio lenye kuendelea la kuwasiliana na uhai katika anga ya juu zaidi.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Mchoro wategemea foto ya NASA