Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g90 8/8 uku. 32
  • “Yameathiri Mtindo wa Maisha Yangu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Yameathiri Mtindo wa Maisha Yangu”
  • Amkeni!—1990
Amkeni!—1990
g90 8/8 uku. 32

“Yameathiri Mtindo wa Maisha Yangu”

Mwanamume mmoja kutoka Afrika Magharibi alisema hivi juu ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni!: “Kwa uhakika mimi naweza kusema kwamba magazeti haya yamevuta moyo wangu kumwelekea Kristo. Hayo humpa mtu habari ahitajizo kujua juu ya Kristo na wokovu. Magazeti haya yalipojulishwa kwangu mara ya kwanza na rafiki, nilifikiri yangenitia ukimwa. Ajabu ni kwamba, kadiri nilivyozidi kuyasoma, ndivyo nilivyozidi kuyaonea shangwe. Niliyaona kuwa yenye kupendeza na yenye kuelimisha sana.

Mwanamume huyo alimalizia kwamba, “Tafadhali mnipelekee nakala za magazeti haya ya maana mwezi hata mwezi.” Wewe pia waweza kupelekewa Mnara wa Mlinzi na Amkeni! (nakala tatu kwa mwezi) kwa mwaka mmoja.

Hii ni sehemu ya kazi ya elimu ya Biblia ulimwenguni pote ambayo hutegemezwa kwa misaada ya kujitolea kwa hiari.

Tafadhali mnipelekee andikisho la mwaka la Mnara wa Mlinzi na Amkeni! (Andikia I.B.S.A. upate habari.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki